TEAM RIYAL TALENTS KUACHIA KIBAO CHAO SWEETY!!
Kikosi kinachowakilisa Kenya pande za Uarabuni,Team Riyal Talent kipo tayari kudondosha mzigo dakika yoyote kuanzia saa hii.
Wimbo huo kwa jina "sweety" umetayarishwa na studio ya Bigfoot music chini ya Produza Baindo na studio za Record in Studios Qatar.
Mwanzilishi wa Team Riyal Talent,MNS alidokeza ya kuwa ni bidii na kuja kufanya kazi pamoja kwa nchi zote mbili,Qatar na Kenya ndiposa kazi hii ikafanyika.
Wimbo sweety ni ushirikiano wa wasanii Prince, Mejakali na Mns.
Comments
Post a Comment