APATA USAIDIZI KUTOKA KWA MZAZI WILLY M TUVA FOUNDATION
Willy M Tuva Ni bingwa ikifikia ni tasnia ya uwanahabari na sauti yake imetamba kote Afrika Mashariki kupitia show yake Mambo Mseto kwenye Radio Citizen.
Huku akizidi kukuza vipaji, mtangazaji huyu amefungua Foundation ambalo analitumia kukuzia vipaji na kuoeana misaada kwa vijana. Hivi juzi alipatana na kijana kwa jina Aruna.
Comments
Post a Comment