"RINGA" VIDEO MPYA YA DAZLAH CHILEMONDE CLASSIC
Baada ya kupata ufanisi mkubwa kupitia hit yake ya kidekide,nyota wa muziki wa pwani Dazlah Kiduche ameachia kibao kipya kwa jina RINGA.Video hii inakuja baada ya Dazlah kutoa hit kali zikifuata kama Bangereba, Kidekide,Cheza Kidogo,Iyo na Nitalia mfululizo.
Ila kiupande wetu twaona bado wimbo wa RINGA haujafunika Bangereba na Kidekide hivyo basi Dazlah anapaswa kutia bidii zaidi na kutoa hit kali zaidi ya alizotoa mbeleni lau sivyo wasanii wapya kama Otile Brown na Wasojali band wataichukua himaya yake............Cheki video hapa
https://youtu.be/eRW2xD1LCoM
Comments
Post a Comment