USIKATE TAMAA LYRICS BY P-DAY DOGO RICHIE TATU AND ALKENIA LUV.


Kwa mara ya kwanza Amz Produza amewaleta wasanii wakomavu kwenye boti moja na matokeo ni kama yafuatavyo:

USIKATE TAMAA LYRICS

VERSE 1
Asubui nimeamka namshukuru Mola kwa kunipa uzima, naweka shati begani......
Ninapokwenda sipaoni sijatia kitu mdomoni, nina imani nitapata.....
Naenda kutafuta Mwenyezi Mungu wangu nitangulie,
Nikifika uwepo unishangaze nifaidikike nami japo.......
Nina imani kwako Mungu binadamu sote tuko sawa,
bibii jamani hututofautisha......
Unawezalala hohe hahe, ukaamka mwenye kutabasamu,
Jipe moyo na subira, ukamilishe ndoto zako.

CHORUS
Kweli ya Mungu ni mengi, hujui ya kesho,
Unachofanya tia bidii, subiri malipo...
Pale unapofika mwisho, ndio mwanzo wa Mungu,
Unapopata matatizo, ni mitihani ya Mungu....
Na wala usikate tamaa, Mungu anajua mipango yako.......
Nawala usikate tamaa, tena anajua juhudi zako.

VERSE 2
Juhudi zako za kila siku, kujinyima kwako na uvimilivu,
Ukifanya fanya sio kujaribu,
Oh oh lipo jibu.....
Kwetu mtaftaji hachoki usikate tamaa,
Maisha hayapangwi kwa rahamani ya choki, kaza tu sana......
Ukilaumu wewe umelala njaa, kuna yule hula kwa jaa,
Haya yote maisha, iko siku yataisha...
Usikate tamaa anayepanga Maulana,
Usiku na mchana usikate tamaa pambana......
Unaweza lala hohe hahe, ukaamka mwenye kutabasamu,
Jipe moyo na subira, ukamilishe ndoto zako.

CHORUS.

Anajua, anajua, anajua..........

PATA KUIPAKUA KWENYE MTANDAO HUU>>
https://mkito.com/song/13337

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA