HATUTAKI VITA! SINGING THE SAME SONGS-VIDEO MPYA YA DULA THE AFRICAN SONGBIRD.
Staa wa miondoko ya reggea Dula Wetu almaarufu African Songbird ameachia video yake mpya.
Dula,aliachia video hii wiki iliyopita kipindi ambapo yupo matayarishoni kwa tamasha kubwa la reggae.
Wimbo 'singing the same songs' ni wosia wake kwa wananchi kuishi kwa amani ili kuepukana na janga la wakimbizi na kukosa makao.
Tazama hapa
https://youtu.be/kVZ7MV4xTZ8
Comments
Post a Comment