MWANDISHI MASHUHURI WA GAZETI AJIPATA MATATANI BAADA YA KUPATIKANA NA BUNDUKI!!!!
Ilikua vuta nikuvute,vurumai,kivumbi asubuhi ya Leo,19.9.2016 baada ya mwandishi mashuhuri wa Nairobi kupatikana na bunduki.
Mwandishi huyu anayefanya na shirika la habari sifika nchini alijipata taabani pale maswali furifuri yalipoulizwa kuhusiana na picha yake ikiwa ameshika bunduki aina ya AK47.
Manuel Ntoyai almaarufu 'Manuu' alishindwa kujibu maswali aliyoulizwa na kutoasema bunduki ameitoa wapi.Juhudi zetu za kuwasiliana naye hazikufua dafu.
Comments
Post a Comment