MWANAHIPHOP HUSTLA JAY KWA PROJECT YA AFRIKA MASHARIKI MJINI ARUSHA.


Kila uchao msanii Hustla Jay huwa yupo katika pilkapilka za kuenua jamii kupitia nguzo za hiphop. Hustla,ambaye muziki wake sana sana huwa hiphop iliyotulia amejizatiti kwa kila namna kufikisha tamaduni za Kiafrika mbele na kuipa hiphop kipao mbele hasa upande wa ukuzaji mila na desturi za hapa nyumbani.
Msanii huyu Vilevile huwa na kipindi chake kwenye radio ya mitandaoni ya WHAT'S GOOD LIVE.


Kwa sasa Hustla Jay yupo Tanzania mji wa Arusha kwa project ya hiphop inayowaleta wasanii wa Arusha na hapa mjini Mombasa. Hustla Jay na shirika lake la Africa Is Now Foundation ameshirikiana na Mstaafrika,grupu la muziki wa hiphop ambalo ni shirika la kuangazia mambo ya jamii. Pamoja wamejaribu kusafisha mitaa,kufunza jamii na kutumbuiza.




Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA