SUSUMILA KAKOSANA NA MKEWE??
Ni mwaka mmoja tu na bado haujaisha pale mbwembwe zilijaa pwani nzima kwenye harusi ya msanii tajika pwani,Yusuf Kombo almaarufu Susumila.
Susu,CEO wa Wachawi International inakisiwa kuwa ametengana na mkewe wa ndoa,Kibibi.Wawili hao japo haijabainika vyema kupitia mwanahabari mmoja tutakaye mbana jina kwa sasa,habari za kuwachana kwao zilifichuka na tunavyoongea Kibibi yupo nyumbani kwa wazazi wake.
Kibibi ambaye ni muigizaji alivikwa Pete na Susumila miezi kumi na moja iliyopita na alikua amejifungua mtoto wa kike.
Yasemekana kuwa wote Wawili walikubali kuwa wametengana ila walidinda kufichua lililowatenganisha.
Kwenye kumbukumbu zetu,Kibibi ni mke wa Pili wa Susumila kutengana naye baada ya mkewe wa kwanza kwa jina Ruth aliyezaa naye watoto Wawili.
HUYU KAKANGU SUSUMILA NI MTU WA BIDII SANA KUSHINDA HATA WASANII WENGINE WOTE HAPA PWANI.NA KUTOKANA NA BIDII ZAKE KIMZIKI AMEFANIKIWA PAKUBWA ILA UPANDE WA NDOA NDIO HAJABAHATIKA KAKANGU NA TATIZO C YEYE NI HAO WAKE ANAOWAPATA,LAKINI USIJALI INSHAALLAH RIZIKI YAKO IKO NJIANI HATA KAMA ITACHELEWA MAANA KILA LILILO NA MWANZO HALIKOSI MWISHO WAKE.ALLAH YUKO PAMOJA NAWE
ReplyDelete