SIFANYI VIDEO ZA BURE NA SITOMB** BURE !!! MOMBASA'S TOP NOTCH SOCIALITE AONGEA!!!
Baada ya fununu kuwa alikua na msanii. Alikiba,na kukata funua mahanjumati na msanii huyo,socialite sifika kwa jina Rahima Feisal amekuja juu kwa gadhabu kuwasuta mahasidi wake Fulani.
Rahima alisema kuwa hafanyi video za bure na kamwe hajitembezi ovyo ovyo Kama wengi wa wapinzani wake.
Binti huyu mrembo,mwenye madaha na anayemezewa mate na fisi wengi alipachika haya kwenye account yake ya Facebook.
Hivyo basi wanaojishuku basi Rehema keshawapasha habari kuwa hatomb** bure na cheap kamwe!!! Upo!!!!??
Kuna kitu siajelewa hapa, "hatombwi bure" , explain please .
ReplyDelete