DHULMA KWA WASANII ZAPIGWA MATEKE!!!!
TWATUMIA PESA NA BADO HATUPEWI KITU.
Kadri sanaa ya Kenya inavyodidimia,wasanii wamejaribu kupaza sauti kwa kila namna ili kujaribu kuokoa milki hii.Mizozana baina ya waandalizi tamasha na wasanii imezidi onekana na mwisho wa siku wasanii hushindwa na kuambulia patupu.
Migongano hii ndio iliyomfanya msanii Benso aliyevuma kwa kibao OGOPA kuingia studio na kudondosha wimbo wa kutetea wasanii ili waweze kulipwa pesa zao. Pata kuisikia hapa kwa mara ya kwanza
https://youtu.be/dfbPOUbLM3E
Comments
Post a Comment