BONGE LA PROJECT MADAGASCAR KUTOKA KWA MC FORTUNE WA KENYA


Mungu kamwe hamtupi mja wake,mwandalizi tamasha za gospel mashuhuri hapa Pwani kwa jina Mc Fortune ni mwenye tabasamu tele kwani jamaa huyo ameangukia bonge la deal nchini Madascar.

Fortune,ambaye Vilevile alikuwa na kipindi Pwani TV alienda Madascar kupitia shirika la YWCA na huko ameanzisha kipindi cha runinga kitakacho onyeshwa Africa nzima.

"Namshukuru Mungu sana kwa njia anazonifungulia kila uchao. Sasa tayari project yangu ipo chonjo na Africa nzima itanitazama nikifundisha watu kunyoosha miili na kumsifu Mungu Vilevile." Alieleza Fortune. Twamtakia kila la kheri akiwa Madascar.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA