BROWN MAUZO AZIDI PATA MAUZO!!!


Si kwa sauti tu bali mvuto wake kwenye sanaa umempa mwelekeo na njia ya kupenya kila pembe Afrika Mashiriki.
Brown Mauzo aliyeanza vuma toka enzi za Wawili Pekee hajawahi legeza kamba kwenye bahari ya sanaa.

Mauzo amefanya kazi na studio kadha wa kadha sifika hapa Kenya hadi Tanzania.Amefanya studio za Ogopa,Mainswitch,Akafanya kazi na Produza Totti,Morbiz na sasa amefanya na Combination sounds iliyopo Tanzania.

Baada ya kimaliza collabo yake na Rich Mavoko,Mauzo amengia studio na kuangusha bonge la hit akimshirikisha Alikiba.

Nitulize imefanyiwa video moja bab-kubwa na itazame hapa--->>>
https://youtu.be/i3_fFWbBUms

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA