"TAKE IT SLOW" SKYMER AWACHIA VIDEO YAKE.ITAZAME HAPA!!!
Msanii wa miondoko ya dancehall, Skymer,kama alivyoahidi amewachia video yake rasmi kwa jina 'take it slow.'
Ni juzi tu tulipomuhoji na kuahidi kuwachia video yake wiki hii na tayari ashatimiza ahadi.
Chini ya director sifika kutoka Nakuru,Tomsy,Skymer amejaribu kuonyesha miondoko ya dancehall kama inavyotakiwa.Itazame hapa
https://youtu.be/SQmfZ-3_ZCQ
Comments
Post a Comment