**EXCLUSIVE**MSANII ATOA VIDEO AKIPONDA WANAODHALILISHA SANAA!!!!
Kawaida ya sanaa ya pwani imejaa kukuru kakara za kukanganya kila uchao. Mara wasanii wapigana,mara bifu zisizo na msingi,malipo duni na kadhalika. Baada ya kupotea kwa muda mrefu,msanii wa mtindo wa bounce amerudi tena kukashifu mambo kadhaa yanayoikumba sanaa. Benso,ameachia video ya wimbo NILIPE akizungumzia jinsi wasanii wa pwani wanavyodhalilishwa kimalipo.
Nilipe,Benso amekuja bayana kudai kilicho chake kimuziki na haki yake kwenye burudani. Akiponda miungano kama MCSK,PRISK,MDUNDO na SKIZATUNE msanii huyu amefungua pazia ambalo wengi walikua bado hawaoni ndani yake.
Benso alikua na haya machache tu ya kutuambia....
"Watch New NILIPE VIDEO by BENSO now on YOU TUBE
NILIPE is a song that talks about the struggle of Kenyan artists and the push that they should get paid/compensated for their artwork.
Available on my you tube channel "Benso Kenya...."
BONYEZA HII LINK UPATE KUITAZAMA-->
https://youtu.be/dfbPOUbLM3E
Comments
Post a Comment