Wengi walimfahamu kwa wimbo wake Leila uliomtoa kwenye fani ya mziki. Kijana mwenye sauti ya kukubalika Sudi Boy amekuwa star na kupiga Collabo nyingi na wasanii wa pwani na vile vile wa Nairobi kama vile Pilipili na  Parroty.
 Kwa sasa Sudi Boy yupo Nairobi ambapo anafanya projects kali chini ya maproducer ikiwepo moja anayofanya na Producer mmoja wa Grandpa Records.  Chini ya upekuzi wetu, tulimpata Sudi Boy akiwa na video Vixen mkali wa Nairobi, huku fununu zikisemekana kuna mambo kati yao wawili. Cheki picha yenyewe


Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA