MODDY B AMKOSOA FISHERMAN NA KUMWAMBIA HAWEZI

Ni wakati wa kukosoana na raundi hii msanii wa ragga na dancehall Moddy B amekuja wazi kumpa kichapo cha maneno Fisherman
Fisherman
Msanii huyu ambaye wimbo wake 'baby come dance with me' ni moto wa kuotea mbali alimkosoa Fisherman kwa wimbo 'Chizika' alioufanya na Jo-1. Tulipomhoji kupitia njia ya simu Moddy B alikuwa na haya ya kusema.......
"Fisherman ana kipaji ila kwa wimbo chizika hajaimba lolote,mwanzo badala ya kuipa flavour nyimbo hio alifanya kuiharibu haswa.Sisemi kwa ubaya ila nafasi hio ingepewa msanii kama Wyre,Redsan,Critiqal,Fidempa,Crabby De Conkara,C-DEH,Shaffie and Slice au hata mimi ingetoka vizuri zaidi.Mistari yake ya 'jasho kote tiririka watu wanakatika imepitwa na wakati.........." 

Je wewe maoni yako ni gani? Moddy B amesema ukweli ama?

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA