WANAWAKE WA MJINI VOI WAONGOZWA NA NYOTA NDOGO KUANDAMANA KUMKASHIFU MUSTAPHA
Baada ya kukuru kakara za
mapenzi ya msanii Mustapha na binti Huddah Monroe kupamba moto hivi
majuzi,wanawake wakiongozwa na msanii gwiji wa hapa pwani Nyota Ndogo
waliandamana wikendi iliyopita jijini Voi wakimkashifu Mustapha kwa
kuwadharau na kuwashusha hadhi wanawake.
Mustapha anayevuma kwa video yake mpya ya 'lenga stress' yasemekana aliomba msamaha. Nyota Ndogo alikuja wazi kupitia stesheni fulani ya redio hapa pwani na kusema kiini cha kuwa mstari wa mbele kumkosoa Mustapha kwa matendo potovu anayofanya.

Comments
Post a Comment