Ali Mohammed ni mmoja wama actor ambaye
amefanya kazi mbalimbali na makampuni za nchi za nje.Vilevile ni model
ambaye ameshinda mataji mengi sana kama Mr Mombasa na nyenginezo.
Kwa sasa anashughulia filamu mjini malindi city ambayo itagaramika maelfu ya pesa, akiongozwa na Executive producer Ali Gereza Mgambo wa Kabaka filmworks.Tegea uhondo...
courtesy of Malindi Superstars
Kwa sasa anashughulia filamu mjini malindi city ambayo itagaramika maelfu ya pesa, akiongozwa na Executive producer Ali Gereza Mgambo wa Kabaka filmworks.Tegea uhondo...
courtesy of Malindi Superstars
Comments
Post a Comment