Crazy K asafisha Jina lake
CRAZY-K ASAFISHA JINA LAKE/// BAADA YA HABARI KUTANDA KUWA MSANII WA HIPHOP ANAYETOKEA HAPA PWANI #CRAZY-K KUMTAPELI NA KUMKIMBIA MSANII WA BONGO Z.ANTO HUKO BUSIA.CRAZY-K ALIYEVUMA KWA WIMBO #REBECA_NIMECHOKA NA NYINGINEZO AMEJITOKEZA NA KUKOSOA
HABARI HIZO.MSANII HUYO ALIKANA KABISA MADAI HAYO NA HIVI NDIVYO
ALIVYOPACHIKA KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK....."Sijawai kua na show
Busia mnanishangaza. Alafu, wen did i start being an event organirer? Am
jst an artist, shw ilikua ya ELDORET na hata me mwenyewe sikuperfom cz
sikulipwa!....." JE MASHABIKI MNA YAPI YA KUSEMA?
Comments
Post a Comment