VIDEO YA ROJO-MO AKIMSHIRIKISHA KHALIGRAPH JONES IPO NJIANI
Kila kunapokucha msanii ROJO-MO anapiga hatua na raundi hii amepiga hatua kubwa mno. Leo yupo uwanjani akitayarisha video ya wimbo wake MZIKI GANI aliomshirikisha KHALIGRAPH JONES.Wimbo huo ulirekodiwa ndani ya BIGSOUND PRODUCTION na video imeandaliwa na Ricky Beko wa CMG PRODUCTION.
Tayari ROJO-MO yupo kwa kundi la Killa Camp linaoloongozwa na msanii Cannibal.
Comments
Post a Comment