Kidiss amashirikisha Vivonce kwa ngoma mpya kali


THE JEMBE-KIDIS ft VIVONCE/// NI MSANII ALIYETIFUA KIVUMBI NDANI YA SANAA YA AFRIKA MASHARIKI KWA KIBAO #KAMUA_REMIX AKIWASHIRIKISHA MAGWIJI WA NAIROBI,NA KWA SASA KIDIS THE JEMBE AMERUDI TENA AKIMSHIRIKISHA VIVONCE KWA WIMBO #THE_JEMBE.WIMBO HUO ULIOANDALIWA NDANI YA SQ RECORDZ CHINI YA PRODUZA AMMZ UPO TAYARI NA TULIPOWASILIANA NA KIDIS HIVI NDIVYO ALIVYOLONGA,".wimbo huu unazungumzia­ maisha yangu kwa ufupi,kiasi watu wajue mimi ni nani na namaanisha nini kuwepo kwangu kwa hii Industry na kwanini nilipachikwa jina Jembe!!.. sikujiita by maself ni Kidis ndio nilijiita but sio Jembe,nilipewa hilo jina ju ya bidii yangu na wala sio ubishoo au madoido

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA