CHIKUZEE KUFANYA COLLABO NA MKALI WA BONGO

Msanii Chikuku Abdhallah almaarufu Chikuzee ambaye sio lazima tumtambulishe kwa kuwa wengi wanamfahamu sana ametoa videoteaser ya wimbo wake SO SIMPLE.
Wimbo huo ulioandaliwa chini ya HORNET RECORDS kwa produza Tk2 bado haujaisha na Chikuzee alikuwa na haya yakusema........."Ile ni teaser tu yakualert watu nyimbo bado haijaisha but na plan kushirikisha msanii flani wa bongo katika hiyo kazi....." Habari ndio hiyo!!

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA