PRODUZA TOTTI APUZILIA MBALI MADAI YANAYOMKUMBA

Baada ya baadhi ya mitandao ya kijamii na magazeti kutoa habari za kutatanisha kuhusu produza msanii Totti wa Kg records kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na msanii wa kike Rashan(styro-smyro akishirikishwa na Amoury beybie) na kuwa mtoto wa Eve wa nzumari ni wake.Totti amejitokeza na kuvunja ukimya wake na kukashifu vikali madai hayo.Produza huyu aliyevuma kwa kibao 'hawakufai' alinakili kwenye ukurasa wake wa facebook hivi
,"I NEED TO MAKE THINGS CLEAR HERE. THERE HAS BEEN STORIES DOING ROUNDS ON BLOGS ABOUT MY PERSONAL LIFE. FIRST, LET ME MAKE IT CLEAR THAT I HAVE NEVER DATED “RASHAN”(KENYANARTIST AND BUSINESS WOMAN). SECONDLY, I AM NOT THE FATHER TO EVE’S(NZUMARI AWARDS CEO) SON. THAT IS CLEARLY DESPICABLE AND ALSO IS DEFAMATION OF CHARACTER. I WISH TO DISASSOCIATE MY SELF FROM ALL THESE RIDICULOUS ARTICLES." Nadhani mashabiki mmesoma kutoka kwa Totti mwenyewe.Amekomesha ubishi.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA