SOMA KALI ZETU ZA RADIO KAYA

Kwa masafa ya 93.1 Mombasa 94.9, Voi na 99.7, Malindi skiza RADIO KAYA, Show inaitwa KALI ZETU ambayo huwa kila JUMAPILI kuanzia saa mbili hadi tatu usiku. Presenter ni Sister Shanniez. 

Voting hufanyika kupitia SMS nambari 20931 kuanzia Alhamisi na Ijumaa (kayaflavaz) na jumapili (kalizetu)

CHATI YA KALI ZETU WIKI HII
 1. ESCOBAR & SHABIG – KUBALI MATOKEO 
2. HASCO & MOODY T – PINGU ZA MAISHA 
3. HARSH B – MPENZI BURUDANI 
4. SUDIBOY & KALICHA – SHOBOKA 
5. 22 – NIKIKUONA UMENUNA 
6. ALLY B – UNAWEZA CHEZA 
7. MADDY MSWAZI – NIMEAMUA 
8. SUDI MANJEWINE – POTELEA MBALI 
9. OMMYKESI & ALIBABAZ – NITULIZE 
10. SHEPHERD & KEN S – MTOTO MZUKA

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA