Iwapo umeskia kuhusu project ya Maliza Umaskini, basi ushamsikia Jamaa kwa jina Sadat Muhindi.
|
Sadat Muhindi |
Sadat anasifika kwa roho safi na project yake ya Maliza Umaskini imewasaidia wasanii wengi upcoming kujitambulisha katika uwanja wa muziki, Akiwemo mtoto wa kike kutoka pwani
Tierra G. na
Papa Dennis aliyemshikisha Jimmy Gait kwenye wimbo
makeke
|
Tierra G |
|
Papa Dennis |
|
|
|
|
|
|
|
|
Sadat ambaye maisha ya utotoni yalikumbwa na umaskni mwingi, alipiga picha kwenye facebook yake akionyesha Nyumba yake ya kwanza na kwa sasa, ni Mtu aliye na uwezo wa kutosha kujikimu na kuwasaidia wachache watimize ndoto zao za kimziki na sanaa kwa jumla.
|
Sadat akiwa kwa nyumba yake kwanza |
Comments
Post a Comment