PRODUZA TEE ATAMBULISHA KIPAJI KIPYA/

Ni produza gwiji, stadi mwenye mkono mkali kwa kazi yake. Vilevile ana ujuzi wa kusimamia msanii mchanga hadi atakapopata weledi wa kujisimamia na kukubalika na mashabiki.Tunamzungumzia Produza,Meneja na CEO wa studio ya Tee hits,Tee Tony. Produza huyu alimtambulisha Dazlah,akafanikiwa,akamtambulisha Double-K akafanikiwa na leo amemtambulisha msanii mwingine kwa jina Wynas.
William almaarufu Wynas ana nyimbo nne.Wimbo alioufanya wa kwanza unaitwa 'Ma beib' akimshirikisha Dazlah,wa pili 'Unanionea',wa tatu 'Playboy' na mpya kabisa unaitwa 'Rudi'.Msanii Wynas anakaa likoni na ana umri wa miaka 2.
Chini ya mbawa zake Tee Tony tarajieni makuu kutoka kwa Wynas.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA