DOGODOGO REMIX ft JULIANI,CHURCHILL na COAST ALL STARS!
Msanii Lypso ameamua
kuunganisha mtindo wa muziki wa pwani na vipaji mchanganyiko wa
Nairobi. Lypso aliamua kuwashirikisha comedian Churchill,rapper wa gospel
Juliani na wakutokea hapa pwani kama HARSH B, DOGO RICHY, CHIKUZEE,
MAJID KULE KULE na NYOTA NDOGO.Wimbo Dogodogo original uliandaliwa na
studio za Jungle Masters chini ya producer Emmy Dee na ulifanya vizuri
mno. Remix hii vilevile imeandaliwa na studio hio hio na mashabiki
wautarajie hewani wakati wowote kuanzia leo.
Comments
Post a Comment