DOGO RICHIE KWA MARA NYINGINE TENA/// Kila anapotoa wimbo huwa hit,kusema ukweli Dogo Richie habahatishi.Gwiji huyu aliyetamba kwa vibao kama:-naona raha,sijasahau,sina raha na hivi majuzi hakuna kulala amerudi tena kwa ukumbi.Richie Ri kama wengi wanavyomuita aliyesajiliwa ndani ya kambi kuu ya Jungle Masters chini ya produza Mshale bora almaarufu Emmy Dee ameandaa kibao kipya kwa jina MAPENZI HAYANA MJUZI.Wimbo huo ambao upo tayari kwa sasa utaachiliwa rasmi mwisho wa mwezi huu.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA