MSANII MR.O WA NYAMAZISHA CREW AMPOTEZA BABAKE KWA LIKONI CHURCH ATTACK

 Shambulizi la hivi majuzi la kanisa la Joy in Jesus limempokonya baba mzazi wa msanii Mr.O wa kikundi cha Nyamazisha crew. Kundi hilo la muziki lililo chini ya studio ya Newdawn records ya meneja na produza Billy linaomboleza kifo cha babake Evans Munandi almaarufu Mr.O.
Tulipoongea na meneja wao ambaye ni produza Billy alitueleza hivi....."Mr.O alimpoteza babake mzazi na yeye mwenyewe alishootiwa kwa mkono pia...the crew was signed last month na wamefanya ngoma mbili (sharolina na nipe tano)......" 

Pwani usanii twawapa pole zetu.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA