WIMBO MPYA WA KASSAMONEY AKIWASHIRIKISHA ELSIE NA Q-RAPS
Msanii wa hiphop Kassamoney
aliyetoa wimbo 'my way' na kushirikishwa kwa vibao vingi vya hiphop
ndani ya kelele records, amerudi tena.
Msanii huyu anayetamba vyema kwenye midundo ya produza Teknixx raundi hii amewashirikisha binti Elsie na gwiji wa hiphop Q-raps kwa wimbo 'hiphop thugs day'.
Msanii huyu anayetamba vyema kwenye midundo ya produza Teknixx raundi hii amewashirikisha binti Elsie na gwiji wa hiphop Q-raps kwa wimbo 'hiphop thugs day'.
Comments
Post a Comment