Jamii Tofauti watoa ngoma mpya
JAMII
TOFAUTI MUZIKI TOFAUTI// NI KUNDI LA WASANÍI WALIOKUJA PAMOJA KUUNDA
KIKOSI CHA KUFUNDISHA JAMII KUPITIA MUZIKI WA HIPHOP;NAZUNGUMZIA #JAMII_TOFAUTI.KUNDI HILO LINALOFANYA MUZIKI WA HIPHOP RAUNDI HII LIMEBADILI STYLE NA KUWACHIA KIBAO
KWA MTINDO WA DANCEHALL.TULIJARIBU KUWASILIANA NA MMOJA WA KUNDI HILO
NA HIVI NDIVYO ALIVYOTUELEZA,,,"kuna ngoma mpya tumetoa yaitwa "step"
tumefanya na "bluemoon riddim" kelele records(teknix producer) sisi ni
hip hop lakini tume change kidogo kwa sababu ya mafans wetu waliitisha
ngoma ya party na ndiyo hii tumewapatia 2014,,,," TEGEENI WIMBO #STEP BLUEMOON RIDDIM TOKA KELELE RECORDZ MUZIKI WA JAMII TOFAUTI.
Comments
Post a Comment