THE BLACK CITY MIXXTAPE LAUNCH:CLUB YELLOW RIBBON
Wasanii shupavu wa hiphop hapa pwani watakuja pamoja kulaunch
mixxtape ya Msanii Dizasta.Tamasha hilo linahappen 4th april at club
yellow ribbon. Entry ni free, mixtape itauzwa kwa 150 shillings. Event dj
ni dj cos na madj wengine pia watakuwepo. Kutakuwa na proffesional
photography, event yenyewe iko organised by Ultimate Hiphop Experience
(UHE) .Watakao perfom ni wasanii wa hiphop kama, Kaa la moto, Mohjay
Graphics, Mnywaji, Risto, Drullix, Petrooz, Ohms
Law, Kassamoney,Ordinnareh,Viddette, Frankwest...
Event inaanza saa tatu usiku hadi chee
Event inaanza saa tatu usiku hadi chee
Comments
Post a Comment