SLEEM-G AZIDI KUWAPA MOTISHA VIJANA WA PWANI

 
Ni msanii aliyeanza mbali,akapitia shida za vijana na matatizo yanayowakumba wasanii.Sleem G wa outta-limits ambaye ndiye mwanzilishi wa UNAWEZA CAMPAIGN kamwe hatotia kikomo kuwapa ushauri wasiojiweza,mayatima na vijana katika jamii. Sleem vilevile alivuma kwa vibao vya UNAWEZA akimshirikisha TOTTI na CHANUKA UJITEGEMEE. 

Tulijaribu kuwasiliana naye na alikuwa na haya ya kusema......"I'm currently visiting different youth groups around coast region concerning #Youth Empowerment..i believe in change and great leadership and what i want to see is a better growing society whereby the youth become great respected leaders and business people..so by that i am making sure i interact with as many youth groups ,empowering and making them realize the potential they have to change this great nation through their different talent skills......." 
 
 
Sleem G Anaweza,mimi naweza,je wewe?
 

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA