Totti amjibu Fisherman
TOTTI AMJIBU FISHERMAN/// BAADA YA MSANII FISHERMAN ALIYESAJILIWA GRANDPA RECORDS KUTOA MAONI YAKE NA KUIDHARAU NYIMBO 'MOMBASA RAHA' ILIYOANDALIWA CHINI YA KAY-G RECORDS.PRODUZA TOTTI AMEKUJA WAZI NA KUMJIBU KIMAFUMBO KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK.TOTTI ALIYEKUWA AMEMALIZA KIBAO KIPYA KABISA CHA MSANII AMOURY BEYBIE AMBAYE NI MMOJA WA WASANII WALIOSHIRIKI KATIKA WIMBO 'MOMBASA RAHA' ALIPACHIKA MAANDISHI HAYA YALIYOMLENGA MOJA KWA MOJA FISHERMAN,,,,, "Ndio kumalizia track mpya ya Amoury Beiby...Haya, wakuongea vibaya kuhusu kazi za wenzao kazi kwenu,,,,,," FISHERMAN WA KIBAO #CHIZIKA ft JO-1 UNA LA KUSEMA??
Comments
Post a Comment