Je wajua wimbo wa tabasamu
wa Sis P upo kwenye list ya video bora nchini kwa sasa? Wimbo huo
uliorekodiwa chini ya produza Rabbizle na kuandaliwa video na Proclips
media inayoongozwa na video director na editor Hanningtone kwa sasa
umemuweka Sis P kwenye ukurasa wa mbele wa madada wanaofanya muziki
kenya.Video ya tabasamu ilifanyiwa launching club Tribeka
Nairobi.Vilevile,tabasamu ipo top five video za KTN.
Sis P
Sis P
Comments
Post a Comment