WASANII WOTE WA PWANI MNAPASWA KWENDA NGUMBARU ISIPOKUWA CASH ERA!!! SOMA HAPA UPATE UHONDO!!!!


Chambilecho wahenga,palipo na ukweli uongo hujitenga.Hivyo basi tukipasua mbarika na kuumwaga mtama penye kuku wengi; kinachojiri ni kuwa wasanii wa pwani wanapaswa kwenda ngumbaru wote isipokua msanii Cashera.Choko choko hii ya kumchokoa pweza ni chapisho la mtandao wa blogi moja kwa jina THE EVENING POST.

Blogi hiyo ilichapisha nyaraka zake za mitandao na kuwadhalilisha wasanii wa pwani kuwa sio wasomi kabisa na wanapaswa kwenda ngumbaru. Ila msanii aliyewachwa kwa listi ni Cashera ambaye ni msomi kama walivyodai waandishi hao. Cashera ambaye yupo na ujio mpya kwa jina CHIJEGO alisifiwa sana kwa shahada mbali mbali alizopata kutoka kwa vyuo tajika nchini.


CHEKI SNAPSHOT ZA EVENING POST.......USIJE UKASEMA 'TWAWAONEA!!!'

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA