HARIBIKA LYRICS BY DICE GANG(reppin south coast Diani)

INTRO (Tino): you already know what it is tho'...its Dice Gang beiby..HARIBIKA!
(Sus on the beat)
(CHORUS)
Imefika muda wetu wa kuharibika (hari hari) haribika/
Imefika muda wetu wa kuharibika shika glass gonga cheers sema haribika/
Hari Hari Haribika x2
Imefika muda wetu wa kuharibika shika glass gonga cheers sema Haribika/

(Verse 1: RAPKEED)
(uuh) Hari hari Haribika/ jana hatukulala leo tunakesha (whooa)/
Hari hari Haribika/ lenga hizo stress endelea kuteesa/
(uuh) izi flow ni tamu...machizi na madada washaanza kudaata/
(uuh) buda leta nidhamu...nalipa bill yangu so akuna mataata/
(yeah) now you see how we rollin' now,,its goin' down,,you already know/
Sus' on the beat yani hii ni kaali/ ita zimamoto hii hataaree/
shots on shots now we in the zone now/ drop to the flow and lose control now/
Smoke for a minute,Drink for a minute,Dance for a minute (yeah)
Haribika na mimi/
eti nani kaiba nini? na nani kaibiwa nini??

(CHORUS)
Imefika muda wetu wa kuharibika (hari hari) haribika/
Imefika muda wetu wa kuharibika shika glass gonga cheers sema haribika/
Hari Hari Haribika x2
Imefika muda wetu wa kuharibika shika glass gonga cheers sema Haribika/

(Verse 2: TINO)
Bigboss back in this..you know what i mean/
Akuna sop sop apa ni hard zaidi ya Eid Amin/
watoto ware ware wakari wako pare pare/
(uuh) hili ni jiji la mapopo/
its all about sexy ladies akuna mapogo/
we party all day..we party all night (uuh)/
we gettin' high till we see the morning light/
kwenye kona namuona wangu Ex..na wote wameharibika utadhani ni project X/
Taylor Dark,Marc Mulla,Ray Crasha and Memz (uuh)/ You guys you are the best of the best/
akuna gwara gwara ukizubaa demu wako me nagwara/
leo ni matequilla akuna guarana guarana (uuh)/
glass on the air,,drinks on the air,,hands in the air (yeah)/ our game is so fair/
tumeharibika tunadab tu kisela/
halla...hater!!

(CHORUS)
Imefika muda wetu wa kuharibika (hari hari) haribika/
Imefika muda wetu wa kuharibika shika glass gonga cheers sema haribika/
Hari Hari Haribika x2
Imefika muda wetu wa kuharibika shika glass gonga cheers sema Haribika/

(Verse 3: KIDCASH)
(uuh) sema haribika/ Dice Gang kwenye flow mazee tumefika/
Nina mizinga..Donkea pale kona jabba limeshika/
niko ndaaa!!!/ sina uhakika..sijui kama Shaks pia nitafika/
Dj Dice nje ako na shisha/ pare la kijanja si kubahatisha/
oya waiter! leta,,drinks kwenye meza/ leta beer mbili na tequilla/ tukiharibika kwa hasira/ middle finger up..for you hater/
your chic is doown/ on her knees/ (uuh) nigga you know what i mean/
Blake Kevin roll the blunt Shish Twain anatwerk man/ that booty drop it low drop it low/ make it clap clap clap/
Dj turn it up we here to have some fun/ hol up/
Sus' bring it on/ madem bila bra kwani what's goin' on?/ who is goin' home??/ NO!!
Tunachafua mpaka dawn./

(CHORUS)
Imefika muda wetu wa kuharibika (hari hari) haribika/
Imefika muda wetu wa kuharibika shika glass gonga cheers sema haribika/
Hari Hari Haribika x2
Imefika muda wetu wa kuharibika shika glass gonga cheers sema Haribika/

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA