MSANII ABUGIA DAWA YA KUOSHA CHOO.... YALIYOFUATIA NI MASHAKA!!
Msanii anayechipuka chapuchapu kwa jina Shyman alokimbizwa hosipitalini usiku wa Jumatatu baada ya kunywa acid ya kuosha choo. Acid hiyo iliyokuwa kwenye za kawaida za maji aliibugia mdomoni kwa bahati mbaya pale alipoichukua akidhani ni ya maji.
Tukio hilo lilifanyika usiku wa jana, kupelekea mke wake na majirani kumkimbiza hosipitali baada ya jamaa huyo kuanguka na kuzirai. Wahisani na wenye roho nzuri wanaweza kutuma pole zao zitakazo saidia kwa mambo ya hosipitali kupitia nambari hii 0704335581.Team pwani usanii twamtakia apone haraka.
Comments
Post a Comment