MAHABUBA LYRICS BY MSWAZI MASAUTY
intro :
mmhh...mmh...mmh
verse1:
Mshukuru mola manani alokuleta duniani,
Na pia washukuru wazazi walivyokulea,
Wako wengi walokutamani wasotaka kukuoa lakini ukajitenga kimwari na zao fikira hukutekwa,
Mambo mengi walishaongea eti wewe hunifaii na majina wakakupatia eti kicheche mtaa,
Kwani mi ndo ni nae kwangu beb we ninani
maneno yao hayatatutishia kwangu beibi umefikaaaaa!!!!
Chorus1: We ni wangu mahabu,mahabu,Mahabuba
We ni wangu mahabu,mahabu,Mahabuba*2 Nakupenda sanaa
Bridge:aaaaĆ aaaaah...aaaaaaaah..aaaaaaaah..aaaaaaaaah
verser2: Mashaallah umeumbwa tena ukaumbika,
Sura yenye kun'gara walai wapendeza
Na mapenzi wayajua kupetipeti mama manukato ya kilua wanukia mamaa,
Kwa kweli nimepata (mapenzi asaaali) siishi kujiramba (mwangu kiganjani)
Na wala kwako sitatoka nitatulia wangu mama
Unibembeleze unidekezee
Na wala kwako sitatoka nitatulia wangu Mamaa ...Unibembeleeze
Chorus2:
Bridge2: Hata waseme ni wewe Moyo umekuchagua mwennyewe
Hata waseme ni wewe hao wacha waone Gere *4
Chorus3:.....................
Mahabuba lyrics by Mswazzi masauti.
Comments
Post a Comment