BLING BLING NA MAPETE YANGU SIO FEKI--MSANII BABUDEE MAPETE AFUNGUKA!!


Anajulikana kwa uvaaji wa mikufu mingi na mapete kibao,muite Babudee Mapete.Msanii huyu baada ya baadhi ya watu kudai kuwa blingi zake ni feki na eti hushika kitu,jamaa huyu amekuja wazi na kupinga madai hayo.Mapete Alisema kuwa Pete zake na mikufu ni ya thamani ya juu na ni 'original' kabisa.

"Ingelikuwa blingi zangu ni feki nisingemuuzia Susumila.Rihaha the boss alizipenda na kuziona nzuri ndiposa akachukua moja na kumtunuku nayo Susumila."Alieleza Babudee Mapete.
Kando na hayo,msanii huyu ameandaa video ya wimbo wake " good morning " ambayo inafanya vyema.Vilevile,Mapete yupo na ujio mpya kabisa atakao uwachia miezi kadhaa ijayo.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA