HARUSI YA NYOTA NDOGO KWA MPENZI WAKE WA KIZUNGU YALETA MGONGANO WA KIFAMILIA.
Baada ya kupata mpenzi wa kizungu na kuonyesha mahaba motomoto hadharani,msanii Nyota Ndogo ameamua kupeleka mahaba level zingine.
Jambo hili laonekana kutoenda vyema na nduguye kwa jina Juma Tutu anayeimba Swahili Jazz.Juma aligadhabishwa na Nyota kwa kupanga na kuandaa harusi ambapo tuliyoyasikia ni kuwa mahari haitalipwa kwa familia ya Nyota Ndogo. Hatuandiki mengi,jisomee snapshots zenyewe hapa!!!!!
Comments
Post a Comment