ALLY B KUANDAA VIDEO YAKE MPYA KATIKA KISIWA CHA ROBIN'S ISLAND KWA SIKU TATU!!!!
Kwa mara ya kwanza mwandishi wetu shupavu alipata nafasi ya kuongea ana kwa ana na msanii gwiji wa hapa pwani Ally B. Msanii huyu aliye na wingi wa mashabiki alidokeza kuwa yupo katika pilka pilka za uandalizi ya video yake mpya ambapo audio imeandaliwa na produza Totti.
Vilevile, Ally B aliyekuwa miongoni mwa wasanii waliokuwa wakitumbuiza kwenye tamasha la Amsha-Mama alisema kuwa mradi huo ni mzuri na ni wakati kina mama wa pwani na Kenya nzima wameamka na kuoewa nafasi ya kwanza katika jamii.
Comments
Post a Comment