BARUA LYRICS BY ZIKY WA ZIKY

Verse 1
Ananifanya nachiizika_namfananisha kila corner...
Majirani washaachoka_kunibembeleza nmapo nuna...
Kama mapenzi safarie_nimejitosa sirudi nyuma..
Nacho tafuta ni changue_cha mwingine basi sitani...
Nasema wangu ni yeyee...
Sinamwingine ila yeyee...
Akah mama wananguee..
Anitulize roho yanguee...
Hata ka uko mbali nami...
Mpenzi wangu subiria...
Usijenitosa ukanikimbia momy...
Ukinimwaga ntalia..x2

Chorus
Oohmamaae mahaba yameniteka akili mwili moyo hauna amaniee.. Oohmamaee,
Oohmamaeh,barua nimetuma mshenga jibu bado mi sijapaataee,Oohmamae e

Verse 2
Nikwamini vipi mupenziwe _wakati uko mbali nani..
Anifanye nini mupenzi we_ hata chakula sitamani..
Nikwamini vipi mwana mama wee_wakati uko mbali nami..
Anikwamini vipi mupenzi we_hata chakula mi sitamani.
A wengi walosema wanapendwaa..
Wamebakishwa na vidonda...
Maumivu ya mapenzi sijapenda..
Japo jamani nlitendwa x2

Chorus
Oohmamaeh,mahaba yameniteka akili mwili moyo hauna amanieeh..Oohmamaee... Oohmamaeh_barua nimetuma mshenga jibu bado mi sijapaataee_Oohmamaeeh.

Verse 3
Naahuukoo uliko mamaaaeh...
Nituunziee penzi salamaeeh...
Ukijaa uwe saalamaeeh...
Oooh oh mama yoyo...
Nafsi inaumia nalia namoyo wanguee...
Madala anasema anakumiss mamaeeh...
Mshale boora yuyuu yuyuyuu..
Mshale booora yuyuu yuyuyuuuuu..
Ooh mamaeh_Nakumiss sanaeeeh

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA