DAAHHH.... HII SAA BALAA. MCA MTARAJIWA AONYESHA MDUDE WAKE!!!!
Huku joto la kisiasa likizidi kuwaka nchini, wanasiasa wameingia kwenye mirengo tofauti ya kisiasa na kutifua kivumbi kwenye ulingo huo.
Rapper Cannibal mwenye ufanisi mkuu kwenye tasnia ya muziki wa pwani amesimama kidete kupigania haki za wananchi hivyo basi yupo imara na ameamua kuingia
mzima mzima ndani ya ward ya Mtopanga. Rapper huyu vilevile ameangusha video mpya kwa jina mdude na inapatikana kwenye mitandao wa youtube. Tusitumie mate ilhali wino upo jitazamieni wenyewe hapa---https://youtu.be/6yFZ-JoiopY
Rapper Cannibal mwenye ufanisi mkuu kwenye tasnia ya muziki wa pwani amesimama kidete kupigania haki za wananchi hivyo basi yupo imara na ameamua kuingia
mzima mzima ndani ya ward ya Mtopanga. Rapper huyu vilevile ameangusha video mpya kwa jina mdude na inapatikana kwenye mitandao wa youtube. Tusitumie mate ilhali wino upo jitazamieni wenyewe hapa
Comments
Post a Comment