DULLY MELODY AONYESHA TATTOO YA MENEJA WA DAZLAH;LIZZ JAHSOLJAH!!!(picha zipo!!!!!)
Baada ya msanii anayechipuka kwa kasi Dully Melody kuchora tattoo ya Lizz Jahsolja ambaye meneja wa Dazlah,tetesi zilizuka eti ilikua uongo. Dully alidinda kuonyesha mchoro wake wa tattoo na jambo hili lilimfanya kuwa kicheko cha watu na mashabiki zake pia.
Kumbe siri ilikua kwa YAGAYAGA nyimbo yake mpya.
"Hii tattoo ilikuwa ni kama Zawadi kwa Lizz kwa hiyo nilingojea wakati mwafaka wa kuionyesha hadharani na wakati wenyewe ni huu ambapo nyimbo yangu YAGAYAGA ipo tayari."
Alieleza Dully.Pata kuidownload nyimbo yenyewe hapa
http://mdundo.com/song/54380
Comments
Post a Comment