TEN BALLZ NA MIKIRINI WATIA MBWEMBWE KWENYE VIDEO ZAO
Huku kiki za video zikizidi kuwapa wasanii mshawasha wa kufanya kazi kali za muziki. Wasanii Ten Ballz na Mikirini waliamua kuyavulia maji ya kina kikuu.
Ten ballz ambaye ni mwanamuziki wa afro-fusion na rnb naye Mikirini ambaye ni rapper anayefoka vikali walikuja pamoja na kuwaandalia mashabiki zao video iliyojaa mbwembwe kibao. Video hiyo kwa jina "walepale" iliandaliwa Nairobi na vilevile audio ya wimbo huo ilifanywa jijini Nairobi. Pata kujitazamia mwenyewe. Hii hapa... https://www.youtube.com/watch?v=n9IHketjEwo
Comments
Post a Comment