MAJID KULEKULE......KUKIMYA KUMBE KAFUNGA HARUSI(picha zipo!!!)


Msanii shupavu na aliyevuma kwa vibao motomoto kama Sinyora,Hali na Serebuka
Majid Kulekule kapatikana.Jamaa huyu aliyekuwa chini ya Jungle Masters studio alipotea sana baada tu ya kutoa nyimbo zilizovuma na kutikisa chati za muziki wa pwani na Nairobi vilevile.Kuna wakati ulifikia na fununu zikatamba mitaani kuwa Majid ni mgonjwa kisa karogwa mara wengine wakidai ati Majid amehama makaazi na anapatikana Zanzibar kwa sasa.
Hivyo basi,mwanahabari wetu mpekuzi wa sanaa ya pwani alichimba kwenye account yake na kugundua jambo litakalo watamausha mashabiki zake gwiji huyu wa vokali.Mbarika zenyewe ni kuwa Majid alipata jiko na kufunga harusi.Picha kadha wa kadha zilipatikana za harusi na bila kutumia mate ilhali wino upo picha zenyewe hizi.




NA PICHA ZA SHEMEJI YETU AKA MRS MAJID HIZI HAPA!!

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA