HAWA NI WASANII NINAOWAFAGILIA ZAIDI PWANI!!! ALI MANZU WA KTN ASEMA NA PWANI USANII!!!
Ni mwanahabari sifika na tajika Kenya nzima,muite Ali Manzu.Manzu anayefanya kazi ya uanahabari kwenye runinga ya KTN ya shirika la standard alipiga gumzo na mwandishi wetu hodari,Godwin Wambua na alipasua mbarika kuhusiana na wasanii anaowapenda zaidi hapa pwani.
GODWIN WA PWANI USANII: Ali Manzu wewe ni wa asili ya kipwani na umelelewa kuku huku pwani.Leo nataka utuambie,ni msanii au wasanii wapi unaowafagilia sana hapa pwani?
ALI MANZU:Shwari kabisa.Wasanii ninaowakubali pwani ni hawa Iddi Singer namkubali sana Kaa la Moto kisha Ukoo flani bado ni miti kwangu.
IDDI SINGER
KAA LA MOTO
UKOO FLANI
Comments
Post a Comment