MWAMKO MPYA WA TUZO PWANI!!! ZENYE MIBABE YA WADHAMINI!!!
Ni habari njema kwa tasnia ya sanaa ya pwani kwani mazuri tele yametufikia. Tunazizungumzia tuzo za MOMBASA AWARDS 2016 ambazo ndizo gumzo mitaani kwa sasa. Tulipowasiliana na mmoja wa waandalizi wa tuzo hizi alituarifu kuwa tayari mikakati kabambe ishawekwa na wadhamini kupatikana tayari.
Wadhamini hao wakiwemo kampuni ya Coca Cola, kampuni ya simu ya X-tigi na wengi Kwa sasa mashabiki wanapaswa kutuma ombi lao la nominees wanaowataka kwa mombasaawards2016@yahoo.com. Vitengo ni kibao.......chaguo ni lako.....Hata hivyo msisahau kutuma pwani usanii kwa kitengo cha blogger of the year!!!!
Comments
Post a Comment