HARUSI YA AKOTHEE YANUKIA NA JE MWANADADA HUYU NI MJA MZITO????pata majibu hapa!!!



Nyota Ndogo keshatwaliwa,anayefuatia kwa laini ni Akothee.Mwanadada huyu mwenye vibao motomoto kama 'give it to me' na 'Mama-Shangerera' meza yetu ya habari imevumbua uvumbuzi kuwa harusi yake na mpenziwe wa Switzerland huenda ikiwa tarehe tano mwezi wa November.


Vilevile Akothee alibandika picha na maandishi yanayozua maswali mengi sana. Maneno yenyewe yaligusia mambo na uja uzito na kama tunavyokumbuka tayari mwanamuziki huyu ni mama mlezi wa watoto watano....wasita yupo karibu.

Akothee aliandika hivi......."While you are still in my past am already enjoying my present, baby no. - loading am blessed Akoth .this concoction is only ment for pregnant people it's full of iron & positive energy you know, but don't try this at home get the formula from me #madamboss"

Kwa sasa Akothee yupo holiday Ulaya akasherekea siku yake ya kuzaliwa. HABARI NDIO HIYO.....HATUNA CHA KUONGEZA!!!!

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA